Search
-
-

Retails Space for Rent in Makongo Juu, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,000,000 per month

Type

Retails Space

Amenities

Near Paved Road
Near Road
Service Charge30000

Description

📢 FREM KUBWA SANA INAPANGISHWA – MAKONGO JUU

Unatafuta eneo la biashara lenye mvuto na muonekano wa kuvutia? Hii hapa nafasi yako!

🏢 Frem kubwa sana
📍 Makongo Juu – inatazama barabara ya lami (muonekano mzuri kwa biashara)
🌟 Ipo eneo zuri kabisa la kibiashara
🚀 Inafaa kwa biashara mbalimbali kama:
✔️ Pharmacy
✔️ Duka la vipuri vya magari
✔️ Barbershop
✔️ Saloon kubwa ya kike
✔️ Duka la vipodozi
✔️ Duka la jumla
✔️ Liquor store n.k

💰 Bei: 1,000,000/= kwa mwezi
💵 Service charge: 30,000/=

📞 Call: 0787093748

👉 Chukua nafasi hii ya kipekee kukuza biashara yako kwenye eneo lenye wateja wa uhakika!