Retail Space for Rent in Mwenge, Dar Es Salaam
Amenities
Description
🔥 FREM INAPANGISHWA – MWENGE 🔥
📍 Mwenge – eneo zuri sana la biashara
💰 Bei: 800,000/= kwa mwezi
Frem ipo sehemu nzuri sana, inatazama lami ya kuingia Stand 🚗🛣️, hivyo inaonekana vizuri na inafikika kwa urahisi.
✨ Marekebisho yote kwenye frem yanafanyika!
🚪 Itawekewa mlango wa kioo kwa muonekano wa kisasa na kuvutia wateja.
✅ Eneo zuri la biashara
✅ Inatazama lami
✅ Karibu na njia ya kuingia Stand
✅ Marekebisho yanafanyika
✅ Mlango wa kioo unawekwa
💵 Service Charge: 30,000/=
📞 CALL: 0787093748
🔥 Usikose hii nafasi – Mwenge ni eneo lenye movement kubwa ya biashara!















