Warehouse for Rent in Moshi Mjini, Kilimanjaro (250 sqm)






Type
Warehouse
Plot Size
250 SQM
Amenities
Description
📍Habari ndugu mteja wa Nyumba za biashara Moshi mjini . Nakuletea godown kubwa na la kisasa Lina PANGISHWA , lipo Moshi mjini karibia na Kiwanda Cha KAHAWA lami , Lina ukubwa wa SQM 250 lipo eneo kubwa na kupaki scania mbili , Kodi Kwa mwezi ni 1,000,000 tuu... Lina faa Kwa biashara yeyote kama ghala la kuhifadhia mizigo , au biashara ya ofisi maana unaweza weka section za ofisi ki idara
📍Kodi ni 1,000,000 malipo Kuanzia miezi 6 na kuendela , MALIPO Kwa Dalali ni MWEZI mmoja .
📍 karibu sana
📞📞0672701329📞📞
#moshimjini
#nyumbazakupanga
#biashara
#dalalimoshi_nyumba
#todayhashtags















