Guesthouse for Rent in Kikuyu, Dodoma

Type
Guesthouse
Bedrooms
5
Amenities
Description
HOTEL YA KISASA INAPANGISHWA MAHALI-KIKUYU (IRINGA ROAD) Inapangishwa hotel nzuri na ya kisasa yenye mazingira mazuri na huduma zote muhimu. NB:Kila kitu kipo humu ww njoo na usajili wako na brand yako na wafanyakazi wako . ✔ Ghorofa moja yenye vyumba 5 vyote master ✔ Vyumba 3 ni vya V.I.P vyenye ubora wa hali ya juu ✔ Lounge ya kisasa ipo chini kwa ajili ya mapumziko na wageni ✔ Nyuma ya jengo kuna nyumba ya chini yenye vyumba 3 vyote master ✔ Air Condition (AC) kwenye vyumba kwa ajili ya hewa safi na baridi ✔ TV za kisasa kwenye vyumba ✔ Kisima cha maji kinachohakikisha upatikanaji wa maji muda wote ✔ Mazingira mazuri na salama kwa biashara ya hotel Inafaa kwa matumizi ya Hotel. -BEI-4.5M kwa mwezi -Muda wa malipo -12/6 month











