House for sale at Salama, Mara

video thumbnail
Salama, Bunda, Mara
4 months ago
Sh. 30,000

Type

House

Description

๐Ÿก ENEO KUBWA LENYE NYUMBA ZA KISASA LINAPATIKANA KIMARA KOROGWE โ€“ LINAUZWA SASA!
Ukubwa wa Kiwanja: 12,140.57 sqm (Hekari 3)
Fursa ya kipekee ya kumiliki eneo kubwa lenye nyumba na apartments za kisasa katika Kimara Korogwe โ€“ Kilingule, eneo linalotajwa kwa utulivu, usalama, na ukuaji wa kasi.

๐ŸŒ MAELEZO YA ENEO
โœ” Lipo Kimara Korogwe โ€“ Kilingule
โœ” Umbali: Takribani 1.5 km kutoka Kituo cha Mwendo Kasi (BRT Stand)
โœ” Barabara inafikika kirahisi muda wote
โœ” Miundombinu ipo โ€“ maji, umeme, mtandao
โœ” Mazingira salama, tulivu na yanayofaa makazi au uwekezaji

๐Ÿ˜๏ธ NYUMBA NA APARTMENTS ZILIZOPO
โœ” Nyumba kadhaa zimekamilika na tayari zina wapangaji
โœ” Apartments zingine zimebakisha finishing ndogo ndogo (rangi, fittings n.k.)
โœ” Ujenzi wa msingi, paa, kuta, umeme & maji umekamilika
โœ” Sebule kubwa, vyumba vya kisasa, tiles, vyoo vya kiwango cha juu

๐Ÿ’ผ FAIDA KWA MNUNUZI
โœ” Uwekezaji tayari unatoa kipato (wapangaji wapo)
โœ” Fursa ya kukamilisha finishing kwa ladha yako
โœ” Eneo kubwa linaloruhusu upanuzi au miradi mikubwa
โœ” Thamani ya ardhi na majengo inaongezeka kila mwaka

๐Ÿš— GHARAMA YA KWENDA KUONA ENEO
๐Ÿ”น Tsh 30,000 kwa site visit (kuona eneo, nyumba na apartments zilizopo)

๐Ÿ“ž Wasiliana / Piga: 0740 747 383
โžก Chukua hatua sasa โ€“ fursa kama hii ya Kimara Korogwe haiji mara mbili!