House for sale in Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Amenities
Description
Nyumba inauzwa mbezi beach kwa Zena
(Mbezi ya chini) upande wa beach karibu na kwa Diamond au Lukuvi
ukubwa wa eneo ni square meters 2080
ni viwanja viwili kwa pamoja
Hati inasoma kiwanja kimoja
umbali toka barabara kuu ni meter 100
barabara ni nzuri kufika kwenye nyumba
na akujai maji
Hati ipo (full documents)
bei ni bil 1.6
Karibu tajiri















