Search

House for sale in Tabata Segerea Kwa Bibi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 58,000,000

Description

🏡✨ NYUMBA INAUZWA TABATA SEGEREA KWA BIBI DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿 ✨🏡

Unatafuta sehemu nzuri ya kujenga makazi yako au kufanya uwekezaji wa apartments? Hiki hapa! 👇

Njoo ukalabati upandishe dhamani upate faida mala mbili ya hapa 🫶🏻

📍 Tabata Segerea Kwa Bibi
📐 Sqm 500
✅kiwanja kina fully Documented
✅nyumba ipo mtaa mnzuri sana
✅Tambarare kabisa
✅Hakuna maji wala bonde
✅Neighborhood nzuri sana

💰 BEI NI 58 Million Tu.

Fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji wa uhakika! 🔥

📞 Muhitaji piga: O719969102

.

Similar properties in Segerea, Dar Es Salaam