Search

Industrial Plot for Sale in Kibaha Visiga Madafu, Pwani (11 acre)

Kibaha, Pwani
23 days ago
Sh. 450,000,000

Description

*Eneo la KIWANDA Ekari 11 linauzwa Milioni 450 maongezi yapo*
LOCATION : 📍KIBAHA VISIGA MADAFU (MBWAWA)
MAWASILIANO:


*Location* Eneo liko upande wa kulia ukitokea Dar na Mkono wa kushoto ukitokea MOROGORO
-Eneo ni tambarare kabisa na limepakana na kiwanda

-Plot size NI SQMT 44574 Sawa na Ekari 11
-Document; Clean Title Deed (Hati safi kutoka wizara ya ardhi)

-Umeme mkubwa na bomba kubwa la maji kwajili ya matumizi ya kiwanda vyote vipo
-Eneo hili nimekamata Bara Bara Kuu ya viwanda kutoka (*VISIGA MADAFU TWO MBWAWA*)

*Bei shilingi milioni 450 maongezi yapo*

dalali abuu viwanja | KIMARA | MBEZI | KIBAMBA | GOBA

dalali_abuu_viwanja_nyumba_dar

@dalali_abuu_viwanja_nyumba_dar

View Listings
dalali abuu viwanja | KIMARA | MBEZI | KIBAMBA | GOBA