Commercial Plot for Sale in Chanika, Dar Es Salaam (19600 sqm)

Chanika, Ilala, Dar Es Salaam
7 days ago
Sh. 2,000,000,000
Type
Commercial Plot
Plot Size
19600 SQM
Amenities
Near Paved Road
Description
Karibu sana Eneo hili linauzwa Chanika Wilaya ya Ilala Dar Es salaam,,,,,,,,,,,
BEI TSH BILIONI MBILI ZA KITANZANIA
Ukubwa wa Eneo ni Hekari Nne (Sqm 19600)
Eneo linatazama barabara ya lami
Waweza kuweka Kituo Cha mafuta , Godown, Shule n.k,,,,,,,,,
Ofisi zetu Zipo Chanika Mwisho katika jengo la Chanika City
Piga Simu 0657 840 010
0623 656 754
Mlewarealestate tunakwambia Hakuna baba mwenye gari Bali kuna baba mwenye nyumba
Uaminifu ndio Nguzo Yetu,,,,,,,,,,,,,
#mlewarealestate #viwanjachanika #mashamba #trending
