Commercial Plot for Sale in Kigamboni Mchikichini, Dar Es Salaam (1283 sqm)
Kigamboni, Dar Es Salaam
22 hours ago
Sh. 45,000,000
Type
Commercial Plot
Plot Size
1283 SQM
Amenities
Description
ENEO LA UWEKEZAJI KIGAMBONI-MCHIKICHINI
✅Kiwanja cha Biashara chenye Ukubwa wa SQM 1,283.
✅Kiwanja kipo Kando ya barabara kubwa ya TARURA kuelekea Kichangani.
✅Eneo linamiundo mbinu mizuri na linakua kwa kasi.
✅Kiwanja kimepimwa na mteja atapatiwa Hati miliki ya wizara.
✅Bei ni Tsh 45,000,000 TU.
Mawasiliano 0767053517















