Search

Residential Plot for Sale in Buhongwa, Mwanza

video thumbnail
Buhongwa, Mwanza
28 days ago
Sh. 45,000,000

Description

Ni bonge la kiwanja..
Bei milioni 45 tu! Pesa faster
Kiwanja kipo mita 300 kutoka limi..
Kiwanja kipo buhongwa michungwani ama buhongwa kituo cha police au buhongwa sokoni
Kiwanja kina barabara kubwa mbili juu na chini
Kiufupi Kiwanja kipo buhongwa center kabisaa
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711