Plot for sale in Goba, Dar Es Salaam sqm 1000









Amenities
Description
Kiwanja kizuri kikubwa kipo ndani ya fensi kinauzwa pamoja na nyumba ndani..
Kipo 📍 Dar es salaam. GOBA MWANZONI. KONTENA. Njia ya Mbezi Beach Masana .. Dakika 2 jutoka lami
Kipo ndani ya fensi na geti lake.
Kina nyumba ya kupangisha.
Kipo mtaa mzuri. Na kinafikika vizuri sana
SQM 1000+
TZS 195 Million (Maongezi yapo)
Full documents ✅️
Tupigie 0767 891 406 // 0785 682 800
#luganoorealestateagency















