Plot for sale in Goba, Dar Es Salaam sqm 1500

Plot Size
1500 SQM
Amenities
Description
Hii ni fursa kubwa sana kwa wewe Mwekezaji mkubwa.
Hapa tunakiwanja kikubwa KIMEGUSA lami (Goba Road).
Kiwanja kipo tambalale, na kinaingilika vizuri sana kutoka lami.
Kina upana mkubwa upande wa barabarani.
Ukubwa ni SQM 1500
BEI: TZS 750 Million (Maongezi yapo)
Full documents: HATI ✅️
▪︎ Chansi ya kuonana na Mmilikikuzungumza zaidi bei unapata💯
Tupigie: 0767 891 406 // 0785 682 800
#luganoorealestateagency















