Search

Residential Plot for Sale in Goba Njia Ya Makongo, Dar Es Salaam (550 sqm)

Sh. 70,000,000

Amenities

Near Paved Road
Surveyed Land

Description

Karibu ndugu mteja🙏🏾
✨Kiwanja kizuri sana kinauzwa panafaa sana kuwekeza apartments au nyumba yakuishi

✨Ukubwa wa kiwanja: SQMT 550

✨Location: Goba njia ya makongo

✨Barabara tambalale sana kwa aina yoyote ya gari

✨Bei : Million 70 (maongezi kidogo)

✨Umbali kutoka lami 1km

✨Documents: Serikali ya mtaa

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:

Dalali wa Makongo,sinza, Ubungo,mikochen,mbez beach,Goba,Mbweni

abbymajumba_tz

@abbymajumba_tz

View Listings

Similar properties in Makongo, Dar Es Salaam

Dalali wa Makongo,sinza, Ubungo,mikochen,mbez beach,Goba,Mbweni