Plot for sale in Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam sqm 800

Plot Size
800 SQM
Nearest Road
3km
Amenities
Description
KIWANJA KIKUBWA
KINAUZWA KIGAMBONI KISIWANI - DAR ES SALAAM
Unatafuta sehemu nzuri kwa ajili ya uwekezaji wa uhakika?
Hiki hapa kiwanja kikubwa sana kinauzwa Kigamboni Kisiwani, eneo lenye ukuaji mkubwa na demand kubwa ya nyumba za kupangisha. Ni sehemu nzuri kwa kujenga apartment, nyumba za kupanga au makazi binafsi.
V Ukubwa wa sqm 800
Kimezungushiwa fence tayari
Kina nyumba ndani yenye mpangaji
Umeme na maji vinapatikana
Eneo lina mazingira mazuri na tulivu
Kilomita 2 tu mpaka darajani Kilomita 3 tu mpaka Ferry
V Eneo linaongezeka thamani kila siku
$ Bei: Milioni 150 tu
: Mazungumzo yapo kidogo kwa mnunuzi serious.
9 Kigamboni Kisiwani - Dar es Salaam
eSE Service Charge: Tsh 30,000 kwa site visit
& Call/WhatsApp: 0628505896 & 0763954837














