Plot for sale in Kimara, Dar Es Salaam sqm 720

Kimara, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 25,000,000
Amenities
Description
#for sell Eneo linauzwa mtaa wa kishua sana pamoja na boma la vyumba v2
Lina 40 kwa 18
Kimara mwisho km1 tuu kutoka mwendokas
Barabara imenyooka mpaka kwenye eneo maji na umeme uhukika
Bei 25 inapungua kidogo
Galama za kupelekwa site 20k
Lipo tambalale
+255 684 88 14 29
+255 684 88 14 29
MSHATI















