Residential Plot for Sale in Kinyerezi Shule Zimbili, Dar Es Salaam (450 sqm)

Type
Residential Plot
Plot Size
450 SQM
Amenities
Description
🏡 KIWANJA KINAUZWA – KINYEREZI SHULE ZIMBILI 🔥
Unatafuta eneo bora la uwekezaji au kujenga makazi yako ya ndoto? Hiki hapa usikose!
📍 Kipo Kinyerezi Shule Zimbili
🛣️ Karibu kabisa na lami (chapili chache tu kutoka lami ya Zimbili)
🔒 Kipo ndani ya fence tayari
📐 Ukubwa: SQM 450
✅ Eneo ni tambarare kabisa
✅ Halijai maji hata kipindi cha mvua
✅ Hakina changamoto yoyote
✅ Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana
💡 Matumizi yake:
✔️ Makazi binafsi
✔️ Ujenzi wa apartments (chanzo kizuri cha kipato)
✔️ Hotel / Guest house / Lodge
✔️ Uwekezaji wa uhakika
💰 Bei: Milioni 45 tu (wahi sasa!)
📞 Piga simu: +255 688 412 890
💼 Service charge: 30,000/=
🔥 Eneo zuri kama hili halikai sokoni muda mrefu!
Karibu tufanye biashara – Dalali wako Wakishua 😎
