Plot for sale in Kisemvule, Pwani sqm 224

Plot Size
224 SQM
Nearest Road
3km
Amenities
Description
Jenga kwako…. Kuna heshima kubwa pale mtu unapoishi kwako….kujenga sio uoga, kujenga kunakupa uhakika wa pakulala… maisha yakulipa kodi yanachosha….
Wengi wanaosema kujenga ni uoga ukifuatilia kiundani wao wameshajenga😁😁😁😁
Kiwanja hapa Bei inaanzia mil 1.6 kisemvule…km 3 kutoka lami
Ukubwa ft 50x40 ( mita 16x14)
Tupigie simu 0785367831















