Plot for sale in Kiwangwa, Pwani sqm 400

Kiwangwa, Pwani
23 days ago
Sh. 5,000,000
Plot Size
400 SQM
Nearest Road
150m
Amenities
Description
Kiwanja cha 20×20 kinauzwa kiwangwa kwenye mananasi
_____
Location kiwangwa mjini
_____
Kipo mita 150 kutoka lami
____
Pia kuna Faundation ya vyumba viwili
____
Barabara ipo safi hadi site
___
Huduma zote muhimu kama umeme maji shule hospitar zipo
____
Kinauzwa shilingi 5 milioni
___
Kipo jirani na Roge ya mbuyu
____
Call and WhatsApp +255713928950
#dalali_bagamoyo
#bagamoyoproperty
#realestatetanzania

