Search

Residential Plot for Sale in Maungani Kijuuni, Zanzibar (4200 sqm)

Zanzibar, Zanzibar
3 hours ago
Sh. 13,000,000

Description

🏑 TUNAUZA KIWANJA – MAUNGANI KIJUUNI
Tunauza kiwanja kizuri kilichopo Maungani Kijuuni, eneo tulivu na linaloendelea kwa kasi.
πŸ“ Ukubwa: Futi 60 Γ— 70
πŸ“ Ni takribani dakika 4–5 kutoka barabara ya lami
🏘️ Mtaa tayari umeendelea na watu wameanza kujenga
🧱 Kiwanja Kina boma ndani Dogo t
πŸ’° BEI: MILIONI 13 TU!
Kwa mtu anayehitaji kiwanja cha kujenga nyumba au kuwekeza, wahi mapema kupata eneo hili zuri.
πŸ“ž Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Dalali Zanzibar

dalali_zanzibar_one_hd

@dalali_zanzibar_one_hd

View Listings
Dalali Zanzibar