Residential Plot for Sale in Mbezi Mpiji Mkombozi, Dar Es Salaam (1600 sqm)

Mbezi, Ubungo, Dar Es Salaam
6 hours ago
Sh. 16,000,000
Type
Residential Plot
Plot Size
1600 SQM
Nearest Road
10m — barabara kubwa ya miter 10
Amenities
Surveyed Land
Description
Kiwanja kinauzwa kiwanja kipo mbezi mpiji magoe mkombozi
Kiwanja kina ukubwa wa sqmt 1600
Kiwanja kimepimwa na kina offa
Kiwanja kinauzwa mil 16 tu
Hati offa mauziano selikali ya mtaa
Ukinunua tunabadili jina inatoka kwa jina lako
Kutoka mbezi nauli daladala 700
Kisha boda elfu na mia Tano upo kwenye kiwanja
Kiwanja kipo shule ya msingi mkombozi
Barabara kubwa ya miter 10 inapita mbele ya kiwanja hicho ila imeota majani inatakiwa kusafishwa
Karibu mteja
0782438858
0658438858
