Search
-
-

Residential Plot for Sale in Mkalama, Morogoro (1097 sqm)

video thumbnail
Sh. 70,000,000

Type

Residential Plot

Plot Size

1097 SQM

Nearest Road

3km

Amenities

Water Supply
Electricity
Near Road
Near School
Near City Center

Description

KIWANJA CHA KWANZA LAMI KINAUZWA – MKALAMA, DODOMA!

▶️SIFA ZA KIWANJA

✅Huduma zote muhimu zipo tayari (maji safi, umeme, barabara)
✅Nyaraka zote ziko sawa – usalama wa uwekezaji wako umehakikishwa
✅ kilomita tatau(3) Kutoka mjini kati
✅Eneo kubwa la kutosha (1097 SQM) kwa nyumba, biashara au vyote
✅Umbali mfupi kutoka katikati ya mji – unafika haraka bila usumbufu
✅Karibu na maeneo muhimu ya elimu na taasisi kubwa za serikali
✅Mazingira yanaendelea kukua kwa kasi – thamani inaongezeka kila siku
✅Bei ni Milion 70
💡 Hapa unawekeza leo, kesho unavuna faida!
📞 Wasiliana nasi sasa: 0767865054 / 0655591155
📍 Ofisi: Barabara ya 9 Jamal Street, nyuma ya Makei House

🔥 Chukua hatua leo – nafasi kama hizi hazidumu!
#milikikiwanjaDodoma #UwekezajiSalama #InfinityRealEstate #DodomaInvestment