Residential Plot for Sale in Ntyuka, Dodoma


Amenities
Description
📍 NTYUKA – DODOMA
Kama unatafuta kiwanja kwa bei nafuu, eneo lenye kufikika kwa urahisi!
✅ Bei ni TSH 9,000 tu kwa SQM
✅ Umbali wa KM 9 tu kutoka Dodoma Mjini
✅ Barabara inafikika mwaka mzima
✅ Lipa kwa awamu mpka miezi 6
✅ Kuprocess Hati Miliki ni BURE
Usisubiri hadi viwanja viishe! Wekeza leo kwa ajili ya makazi yako au biashara ya kesho.
📞, Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi na kupanga kutembelea eneo.
Au Tembelea office zetu zilizopo 📍 Mtendeni Street in Zahir Restaurant Block, Opposite na Maisha club
#MarklandProfessionals #ViwanjaDodoma #BwawaniH #Dodoma #Uwekezaji ViwanjaBeiNafuu LipaKwaAwamu HatiMilikiBure RealEstateTanzania















