Plot for sale at Tabata, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 150,000,000

Description

Kiwanja cha Ndoto Huko Tabata Bima!

Fursa ya pekee ya kumudu kiwanja cha kupendeza katika eneo la Tabata Bima!

- Ukubwa:
600 sqm - nafasi ya kutosha kwa nyumba yako ya ndoto au mradi wa Biashara!
- Bei ya Kuvutia:
TZS 150 milioni tu!
- Mazingira:
Kimezungukwa na uzio salama, na kipo cha PILI tu kutoka lami kuu - upatikanaji wa uhakika!
- Eneo la Kimkakati:
Tabata Bima, eneo linalokua kwa kasi, linalofaa kwa makazi au uwekezaji.

📞 Piga simu: 0688 412 890
📍 Ofisi: Kinyerezi Mwisho Stendi
💸 Ada ya Kuona: Tsh 30,000