Search

Residential Plot for Sale in Ubungo Makoka, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 37,000,000

Description

Kiwanja kzr sanaa kikubwa mkeka kabisa akuna kuchimba hapo bei milioni 37 maongezi

Kiwanja kinaukubwa wa square 500

Kiwanja kinafaa kujenga apartments za biashara au makazi binafsi

Kiwanja kipo ubungo makoka km2 usafiri bajaji 700 kutoka ubungo river said

Kiwanja kinadocoument halali za mauziano kutoka serikali za mtaa

Wai ndugu mteja viwanja vya karbu na mjini avikai

Mawasiliano

Wsp

dalali_mzoefu_ubungo

dalali__mzoefu_ubungo_

@dalali__mzoefu_ubungo_

View Listings
dalali_mzoefu_ubungo