Restaurant for Rent in Sinza, Dar Es Salaam



Sinza, Ubungo, Dar Es Salaam
1 day ago
Sh. 400,000 per month
Type
Restaurant
Amenities
Near Paved Road
Description
🔥 MGAHAWA UNAPANGISHWA – SINZA 🔥
Unatafuta sehemu ya kuanzisha au kuendeleza biashara ya chakula? Hii hapa nafasi yako! 🍛✨
📍 Location: Sinza – sehemu yenye watu wengi na biashara kuchangamka
💰 Bei: 400,000/= kwa mwezi
🏪 Mgahawa bomba kabisa, unafaa kwa msosi wa aina yoyote
🛣️ Unatazama lami – wateja wanakuona kirahisi
💼 Sehemu tajiri kwa biashara, njoo uwekeze hapa uanze kutengeneza pesa!
🔌 Service Charge: 30,000/=
📞 Call: 0787093748
Usikose nafasi hii ya kipekee! 🔥
