House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 300,000

Type

House

Description

NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA SUKA

kutoka lami mpka kwenye nyumba ni dk 6 tu kwa miguu

Ipondani ya fence
Parking kubwa sana
Chumba kikubwa masta
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum

Kodi 300,000/=×5,6

Nb
Survey charge 20k
Agent fee 1 month

Contact
Call... Whatsapp....O677370515