House for sale in Buhongwa, Mwanza



Type
House
Plot Size
1575 SQM
Amenities
Description
Ni bonge la mjengo🔥🔥🔥
Bei milioni 150 tu!
Ukubwa wa kiwanja ni 45 kwa 35
Mjengo upo buhongwa jijini Mwanza
Nyumba ina hatimiliki kabisa
Nyumba ina mpangaji analipa kodi milioni 5 kwa mwaka.. na mkataba wake upo ukingoni kuishaa
Hivyo ni wewe kununua na kuboresha na kuweka bei ya kodi unayotaka.. hata iwe ni milioni 10 kwa mwaka watalipa tu!!!
Maelezo zaidi nenda WhatsApp 0763 296 711















