1 Bedroom House for Rent in Kibada, Dar Es Salaam

Description
🏠 NYUMBA INAPANGISHWA – KIBADA (KIGAMBONI)
Kuna nyumba nzuri inapangishwa Kibada Kigamboni, yenye:
✅ Chumba kimoja master
✅ Sebule pamoja na jiko
✅ Nyumba iko ndani ya fence (usalama wa kutosha)
✅ Parking area ya magari
✅ Mazingira safi na tulivu
💰 Kodi: Tsh 300,000 kwa mwezi (Laki 3)
📍 Location: Kibada, Kigamboni
📞 Call & WhatsApp: 0746407197
#NyumbaInapangishwa #Kibada #Kigamboni #HouseForRent #MasterRoom FencedHouse ParkingArea DarEsSalaamRentals DalaliKigamboni 🏠✨dalalisimbadarajani















