Search

1 Bedroom House for Rent in Kigamboni Darajani, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

Description

🏡 CLASSIC HOUSE INAPANGISHWA – KIGAMBONI DARAJANI

Wahi mapema upate nyumba nzuri na ya kisasa Kigamboni Darajani. Nyumba hii ni chumba kimoja master bedroom (self-contained) pamoja na jiko la kisasa.

✨ Sifa za nyumba:

* Chumba 1 master bedroom
* Jiko la kisasa na safi
* Full AC ❄️
* Iko ndani ya fence (usalama wa kutosha)
* Parking kubwa ya magari 🚗
* Mazingira mazuri na tulivu

💰 Kodi: Laki tatu (300,000/=) kwa mwezi

📍 Eneo: Kigamboni – Darajani

📞 Karibu sana, wahi mapema kabla haijachukuliwa!

#NyumbaInapangishwa #Kigamboni #Darajani #ClassicHouse #FullAC ParkingKubwa NyumbaYaKupanga DarEsSalaamdalalisimbakisiwani