1 Bedroom House for Rent in Kimara Bucha, Dar Es Salaam









Type
House
Bedrooms
1
Nearest Road
5km — Barabara Ya Mwendo Kasi
Amenities
Description
🇹🇿 MASTER BEDROOM NZURI SANA INAPANGISHWA – KIMARA BUCHA JILANI SANA NA BARABARA KUU YA MWENDO KASI
📍 Mahali: Kimara Bucha
🕒 Dakika 5 tu kwa mguu kutoka stand ya mwendo kasi Kimara Bucha, jirani sana na barabara.
🏡 SIFA ZA NYUMBA
🔹Chumba kimoja (Master Bedroom)
🔹 Jiko zuri na la kisasa
🔹 Umeme & Maji (Submeter yake binafsi)
🔹 Maji yanapatikana ndani masaa 24/7hrs
🔹 Fensi hamna. & Parking kubwa na salama
🔹 Usalama wa uhakika masaa 24/7hrs
👉 Chumba kinakuwa wazi tarehe 02/08/2026, kuona ndani na kufanya malipo luksa kabisa
GHARAMA
🔸 Kodi: Tsh 170,000/= × miezi 6
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
WSP 0752436347















