Search
-
-

1 Bedroom House for Rent in Mbagala Mbande Kisewe Stendi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 150,000 per month

Type

House

Bedrooms

1

Nearest Road

5minute

Installment

Available

Amenities

Standalone Electric Meter
Standalone Water Meter
Fence

Description

Chumba sebule master bedroom pamoja na jiko lake kinapangishwa bei 150 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala mbande kisewe stendi, umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa dakika 5 ivi kwa kutembea kwa miguu. Unajitegemea umeme luku yk pamoja na maji pia mita yk na fensi ya parking ipo pia. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.