Search

1 Bedroom House for Rent in Mbagala Mbande Kisewe Ungindoni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 150,000/month

Description

Chumba sebule master bedroom pamoja na jiko lake la ndani kwa ndani kinapangishwa bei 150 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala mbande kisewe location ungindoni. Chumba sebule master bedroom kina tiliz madilisha vioo, jiko, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk. Nyumba ni mpya kabisa haijakaliwa na mtu yeyote yule. Umbali wake kutoka kwenye kituo cha daladala hadi kwenye nyumba ni kama mwendo wa 5 ivi kwa kutembea kwa miguu. kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.

Similar properties in Mbagala, Dar Es Salaam

1 Bedroom Apartment for Rent in Mbagala Kuu, Dar Es Salaam

Sh. 150,000/month

For Rent1 bedapartment
2 Bedrooms Apartment for Rent in Mbagala Mbande Kisewe, Dar Es Salaam

Sh. 230,000/month

For Rent2 beds3 bathsapartment
2 Bedrooms Apartment for Rent in Mbagala Mbande Kisewe, Dar Es Salaam

Sh. 230,000/month

For Rent2 beds3 bathsapartment
2 Bedrooms Apartment for Rent in Mbagala Mbande Kisewe, Dar Es Salaam

Sh. 230,000/month

For Rent2 beds3 bathsapartment
2 Bedrooms Apartment for Rent in Mbagala Mbande Kisewe, Dar Es Salaam

Sh. 230,000/month

For Rent2 beds3 bathsapartment
3 Bedrooms Apartment for Rent in Mbagala Rangi Tatu, Dar Es Salaam

Sh. 300,000/month

For Rent3 beds2 bathsapartment