1 Bedroom House for Rent in Sinza Madukani, Dar Es Salaam
ID: 260905JEV95Sinza, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 200,000/month
Amenities
Description
Hii inaitwa ukicheza mbali utakuta mtu kahamia
Nichumba kikubwa kizuri jiko lipo choo ndani unashea namtu 1 mazingira mazuri kipo sinza madukani bei laki 2 kwa mwezi kodi miezi 2 utaikosaje kimbia njoo umalize ipo sinza madukani
Service charge yakuona nyumba ni shi 30000 pia nakodi yamwezi 1 wadalali
Call
whatsAp















