10 Bedrooms House for sale in Ukonga, Dar Es Salaam



Sh. 87,000,000
Amenities
Description
NYUMBA INAUZWA – MOMBASA, DAR ES SALAAM
💰 Bei: TZS Milioni 87 tu
Sifa za nyumba:
✅ Kiwanja ukubwa wa mita 50×100
✅ Umbali wa Mita 150 kutoka barabara ya lami
✅ Lina Jumba lenye vyumba 7
✅ kuna banda lenye vyumba vitatu
Vyumba vyote vina wapangaji:
✅ Kila chumba kodi kwa mwizi 30,000
✅ Eneo la nje lina nafasi la kujenga vyumba 7
✅ Lina kipato cha 200,000 kwa mwezi
📍 Location: MOMBASA (Transformer, UEFA), Dar es Salaam
📞 Wasiliana na mmiliki: 0618629967














