Search

6 Bedrooms House for Sale in Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam (1000 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 250,000,000

Description

FOR SALE 250,000,000/= πŸ’₯JUMBA LA KISASA KUBWA

BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MILIKI LINAUZWA 250 000,000/= MILION MAONGEZI YAPO

πŸ’₯ NYUMBA HII KUBWA LA KISASA LINA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA

#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA
STORE ZIPO 2
MAKABATI YA NGUO VYUMBANI

NYUMBA HII INA HATI MILIKI

UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000

BEI YA KUUZWA NYUMBA HII NI SHILINGI MILIONI 250M MAONGEZI YAPO

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA

NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI

πŸ’₯ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 50

DALALI KIMARA SUKA LEONARD

lenardjackson

dalali_kimara_suka_leonard

@dalali_kimara_suka_leonard

View Listings

Similar properties in Mbezi, Dar Es Salaam

5 Bedrooms House for Sale in Mbezi Beach, Dar Es Salaam (1836 sqm)

$ 1,500,000

For Sale5 beds6 baths1,836 sqmhouse
2 Bedrooms House for Sale in Mbezi Maramba, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

For Sale2 beds1 bathhouse
2 Bedrooms House for Sale in Mbezi Maramba, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

For Sale2 beds1 bathhouse
lenardjackson