4 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Kisiwa, Dar Es Salaam (500 sqm)

Type
House
Bedrooms
4
Plot Size
500 SQM
Nearest Road
300m
Amenities
Description
NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI KISIWA
Nyumba nzuri inauzwa eneo la Kigamboni Kisiwa, ipo sehemu tulivu na salama kwa makazi ya familia.
Sifa za Nyumba:
* Vyumba 4 (2 Master)
* Sebule
* Jiko
* Eneo la ukubwa: Sqm 500
* Ina nafasi ya fremu (biashara) nje
Faida za Ziada:
* Inaingiza kipato cha Tsh 150,000 kwa mwezi kupitia fremu
* Ipo mita 300 tu kutoka barabara kuu ya lami
* Mazingira mazuri, tulivu na salama
Bei: Tsh Milioni 85 (maongezi yapo kidogo)
Karibu sana kuja kuona nyumba hii – ni fursa nzuri ya makazi na uwekezaji kwa wakati mmoja.
#trending #videos #tanzania #istagram #realestateinvestment















