4 Bedrooms House for sale in Kigamboni Mjimwema Kibugumo, Dar Es Salaam

Type
House
Bedrooms
4
Plot Size
1000 SQM
Amenities
Description
NYUMBA YA KISASA INAUZWA - KIGAMBONI MJIMWEMA (KIBUGUMO) *+ Nyumba bora kabisa kwa familia, imekamilika kwa kiwango cha juu sana! LOCATION: Kigamboni Mjimwema - Kibugumo, Dar es Salaam • UKUBWA: Sqm 1000 (imepimwa) - VYUMBA: • Vyumba 4 vya kulala • Vyumba 3 ni master (self-contained) SEHEMU NYINGINE: • Sebule kubwa • Dining • Jiko la kisasa L FEATURES ZA NYUMBA: • Aluminium windows • Tiles za kisasa • Gypsum nzuri ndani • Paving (parking kubwa) • Electric fence + fence ya ukuta • Mazingira mazuri na tulivu • Inafikika kirahisi sana BEI: TZS 138,000,000 (Milioni 138 tu) Bei ya kutupa kabisa ukilinganisha na ubora wa nyumba! :mawasiliano 0628505896 0763954837















