Search

4 Bedrooms House for sale in Mbagala Zakhem, Kibondemaji B, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 120,000,000

Description

🏡 NYUMBA KALI YA KISASA INAUZWA – MBAGALA ZAKHEM, KIBONDEMAJI B 🏡

💰 Bei: TSh Milioni 120 (Mazungumzo yapo)

Unatafuta nyumba ya kisasa yenye nafasi kubwa na mazingira mazuri? Hii ndiyo fursa yako!

✨ Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 4 vya kulala
✅ Vyumba 2 Master Bedroom
✅ Sitting Room kubwa
✅ Dining Room
✅ Jiko la kisasa
✅ Umeme na maji ya uhakika
✅ Fensi ya waya kuzunguka eneo lote
✅ Eneo kubwa la parking – linaweza kuingiza magari madogo 3

📍 Mahali: Mbagala Zakhem, Mtaa wa Kibondemaji B

Usikose fursa hii ya kumiliki nyumba nzuri kwa bei nafuu.

📞 Kwa maelezo zaidi na kuangalia nyumba, piga simu:
0683 665504

Similar properties in Mbagala, Dar Es Salaam