4 Bedrooms House for Sale in Mbweni, Dar Es Salaam (600 sqm)

Description
NYUMBA MPYA YENYE HATI, VYUMBA 4,TSHS.320 MIL,MBWENI-UBUNGO.
Hii ni nyumba ya kisasa YAKUHAMIA.
Haihitaji hata kufagia jamani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600.
Umiliki wake ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Vyumba 4 vya kulala ( 2 Vyoo ndani)
Pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Ndani ya Fensi.
UNACHELEWA NINI SASA?
TUSIJEKULAUMIANA BAADAE.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,00.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________ryt















