4 Bedrooms House for Sale in Ushwani, Kigamboni, Dar Es Salaam (2000 sqm)

Description
🏡 KASRI LA KIFAHARI LINAUZWA – USHWANI, KIGAMBONI 🌴🔥
✨ Unatafuta nyumba ya kiwango cha juu kabisa? Hii hapa nafasi yako!
📍 Location: Ushwani, Kigamboni – Dar es Salaam
🔹 Sifa za Nyumba:
• 🛏️ Vyumba 4 vya kulala (Vyote Master)
• 🛋️ Sebule kubwa na ya kisasa
• 🍽️ Dining area
• 🍳 Jiko la kisasa
• 🏠 Servant Quarter (SQ)
• 🏘️ Nyumba nyingine ya vyumba 2 (unaweza kupanga ukapata kipato)
📐 Ukubwa wa Eneo: Sqm 2,000
📄 Hati: Hati safi ya Wizara
🌟 Vifaa na Mazingira:
• Tiles za kisasa (Paving)
• Gypsum nzuri ndani
• Mazingira tulivu na ya kifahari sana (Ushwani kabisa)
💰 Bei: TZS 300,000,000 tu (Milioni 300)
⚠️ Service Charge: TZS 30,000 (Viewing)
📞 Wasiliana Nasi:
Call/WhatsApp: +255 746 407 197
⸻
#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam nyumbainauzwa kigamboni ushwani dreamhouse















