Search

5 Bedrooms House for Rent in Mkwambe Fani City, Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,200,000/month

Description

DREAM HOUSE FOR RENT – KIGAMBONI MKWAMBE FANI CITY 🏡

Karibu uione nyumba ya kifahari yenye mazingira tulivu na salama, inayofaa kwa makazi ya familia au uwekezaji.

✨ Sifa za Nyumba Kuu:
✅ Vyumba 5 vya kulala, vyote Master Bedroom
✅ Sebule kubwa na ya kisasa
✅ Dining Room
✅ Jiko kubwa lenye nafasi ya kutosha
✅ Kila chumba kina AC

🏠 Nyumba za Nje (Servants Quarters):
✅ Nyumba 2 za watumishi

🌿 Huduma na Miundombinu:
✅ Kisima cha maji
✅ Garden nzuri na ya kuvutia
✅ Full Fence kwa usalama wa hali ya juu
✅ Maegesho makubwa ya magari
✅ Mazingira mazuri na tulivu

💰 Bei,Milioni 1Na laki 2 Kwa mwezi
📍 Location:
Mkwambe Fani City, Kigamboni
✔️ Takribani kilomita 1 kutoka barabara kuu ya lami
✔️ Usafiri wa bodaboda ni Tsh 1,000 tu kutoka barabara kuu hadi nyumbani

📞0769554221
Nyumba ya ndoto yako inakusubiri Kigamboni Mkwambe Fani City! 🏡✨
#trendingvideo #istagram #tanzania🇹🇿 #realestateforsale #trendingaudio