5 Bedrooms House for sale in Kigamboni, Dar Es Salaam

Amenities
Description
🏡 Hili Boma la kisasa linauzwa kigamboni
📍Location yake; Dar es salaam kigamboni
🛌 Lina vyumba vitano 2|masters
🚕 Parking kubwa #Sqm500
💰45M, Tzsh🇹🇿, maongezi kidogo yapo
* NOTE* hili boma lipo sehem nzuri sana hakuna changamoto yoyote ya barabara na limejengwa kisasa.
Kama umevutiwa napo Basi Nichek DM📧 au kupitia namba zangu hapo chini
@0656775637 & @075548984















