Search

3 Bedrooms House for Rent in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 370,000/month

Description

#0742260844_0657384670
.
Vyumba v3 kimoja master sebule kubwa dinning jiko store na choo cha public ndan

Nyumba imezungulushiwa uzio parking kubwa

Inajitegemea umeme maji dawasco muda wote

Kod 370,000 x6 wahi

Nyumba ipo kimara mwisho km1 tuu usafili boda 1000 bajaji noa uhakika muda wote

Galama za kupelekwa kuona 15k ukilipia utatoa mwez kwa dalali

Similar properties in Kimara, Dar Es Salaam