Search

3 Bedrooms House for Sale in Kibada Mwembe Mtengu, Dar Es Salaam (600 sqm)

video thumbnail
Sh. 175,000,000

Description

🏑 NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI, KIBADA MWEMBE MTENGU | DAR ES SALAAM

πŸ’° Bei: TZS 175,000,000 (Mazungumzo yapo)

πŸ“ Ipo Kibada Mwembe Mtengu, takribani mita 500 kutoka barabara ya lami. Eneo ni tulivu, salama na linafaa kwa makazi pamoja na uwekezaji.

✨ Sifa za Nyumba:

πŸ›οΈ Vyumba 3 vya kulala
πŸ›‹οΈ Sebule kubwa
🍽️ Dining
πŸ‘¨β€πŸ³ Jiko kubwa la kisasa
πŸ›οΈ Chumba kingine kikubwa kinachoweza kutumika kama guest room, ofisi au chumba cha nne
πŸ“ Eneo la takribani sqm 600
πŸ“œ Hati Safi ya Wizara ya Ardhi

βœ… Faida za Uwekezaji:

🏠 Inafaa kwa makazi ya familia
🏒 Inafaa kwa biashara au uwekezaji
πŸ’΅ Kwa sasa inapangishwa kwa TZS 500,000 kwa mwezi, na baada ya maboresho madogo inaweza kufikia TZS 800,000 kwa mwezi.

πŸ’° Bei: TZS 175,000,000 (Mazungumzo yapo)

πŸš— Service Charge: TZS 30,000 (Kwa site visit)

πŸ“ž Call/WhatsApp: +255 746 407 197

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidaressalaam #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja realestateapartment kigamboni kibada mwembemtengu nyumbainauzwa fyp viral

Similar properties in Kibada, Dar Es Salaam