3 Bedrooms House for sale in Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam

Description
NYUMBA ZINAUZWA - KIGAMBONI KISOTA, DAR ES SALAAM
Fursa adimu sana ya uwekezaji kwenye eneo la kishua
kabisa Kigamboni Kisota! Nyumba hizı ziko kwenye kona plot na zinagusa barabara kubwa inayoelekea lami. Zinafaa kwa makazi ya kifahari au uwekezaji wa kupangisha. ‘et
9 Location: Kigamboni Kisota, Dar es Salaam V Kilomita 3 tu mpaka Daraja
V Kilomita 4 mpaka Ferry V Zinagusa barabara kubwa
Mazingira mazuri sana na ya kishua
M Nyumba zote ni ghorofa za kisasa:
V Vyumba 3 vya kulala
V Sebule kubwa
Dining room
V Jiko la kisasa
Parking kubwa
V Fence na mazingira safi
Nyumba kali sana na zimejengwa kisasa
Uwekezaji wenye faida:
V Kila nyumba inaweza kupangishwa zaidi ya Milioni 1.5
kwa mwezi
V Zinafaa kwa familia za kisasa au rental investment
8 Nyumba zinauzwa zote kwa pamoja
Ukihitaji nyumba za kifahari kwa matumizi binafsi au
uwekezaji, hii ni deal nzuri sana.
• Bei: TZS Milioni 500 tu
* Mazungumzo kidogo yapo
of Service Charge: TZS 30,000 kwa site visit
& Call/WhatsApp: 0628505896 & 0763954837
#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es
salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment
dalalidaressalaam kigamboni ghorofazinauzwa















