Search

3 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 500,000,000

Description

🏒πŸ”₯ GHOROFA 2 ZINAUZWA – KIGAMBONI KISOTA, DAR ES SALAAM πŸ”₯🏒

Fursa adimu sana ya uwekezaji kwenye eneo la kishua kabisa Kigamboni Kisota! Nyumba hizi ziko kwenye kona plot na zinagusa barabara kubwa inayoelekea lami. Zinafaa kwa makazi ya kifahari au uwekezaji wa kupangisha. ✨

πŸ“ Location: Kigamboni Kisota, Dar es Salaam
βœ… Kilomita 3 tu mpaka Daraja
βœ… Kilomita 4 mpaka Ferry
βœ… Zinagusa barabara kubwa
βœ… Mazingira mazuri sana na ya kishua

🏠 Nyumba zote ni ghorofa za kisasa:
βœ… Vyumba 3 vya kulala
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining room
βœ… Jiko la kisasa
βœ… Parking kubwa
βœ… Fence na mazingira safi
βœ… Nyumba kali sana na zimejengwa kisasa

πŸ’Έ Uwekezaji wenye faida:
βœ… Kila nyumba inaweza kupangishwa zaidi ya Milioni 1.5 kwa mwezi
βœ… Zinafaa kwa familia za kisasa au rental investment

πŸ”₯ Nyumba zinauzwa zote kwa pamoja
Ukihitaji nyumba za kifahari kwa matumizi binafsi au uwekezaji, hii ni deal nzuri sana.

πŸ’° Bei: TZS Milioni 500 tu
πŸ—£ Mazungumzo kidogo yapo

πŸš— Service Charge: TZS 30,000 kwa site visit

πŸ“ž Call/WhatsApp: +255746407197

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kigamboni ghorofazinauzwa realestateinvestment dar es salaam fyp viral

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam

5 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Geza, Dar Es Salaam (550 sqm)

Sh. 130,000,000

  • Title Deed

  • Parking Space

  • Dining Room

3 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam (720 sqm)

Sh. 160,000,000

  • Title Deed

  • Servant Quarter

  • Sitting Room

2 Bedrooms House for Sale in Kigamboni, Dar Es Salaam (1800 sqm)

Sh. 135,000,000

  • Fence

  • Near Paved Road

  • Free Site Visit

3 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam (650 sqm)

Sh. 320,000,000

  • Air Conditioning

  • Parking Space

  • Fence

3 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Mji Mwema, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 195,000,000

  • Title Deed

  • Water Supply

  • Parking Space

5 Bedrooms House for Sale in Kibada C Ya Radi, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 900,000,000

  • Air Conditioning

  • Paving Blocks

  • Near Paved Road

3 Bedrooms House for Sale in Mikwambe, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

  • Kitchen

  • Flat Land

  • Near Paved Road

4 Bedrooms House for Sale in Ushuwani, Kigamboni, Dar Es Salaam (2000 sqm)

Sh. 300,000,000

  • Title Deed

  • Paving Blocks

  • Gypsum Ceiling