Search

3 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Mwongozo, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 14,500,000

Description

🔥 BOMA ZURI LINOUZWA – KIGAMBONI MWONGOZO 🔥

📍 Eneo lipo Kigamboni Mwongozo
🛣️ Mita 400 tu kutoka barabara ya lami
🏡 Boma lina vyumba 3 vya kulala, sebule, dining pamoja na jiko
🚪 Linagusa barabara ya mtaa kwenye mazingira mazuri sana
📐 Eneo limepimwa (Surveyed & Approved) tayari kwa kupata hati kwa jina lako

💰 Bei: Milioni 14.5 tu
🤝 Kwa mnunuzi serious mazungumzo yapo kidogo

⚡ Hii ni nafasi nzuri sana ya kuwekeza au kumalizia nyumba yako ya ndoto kwa gharama nafuu.
📢 Unapoisikia taarifa hii mwambie ndugu, jamaa au rafiki usichelewe!

💵 Service charge: Tsh 30,000
📞 Call/WhatsApp: +255746407197

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kigamboni nyumbainauzwa dar es salaam uwekezaji

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam

3 Bedrooms House for Sale in Kigamboni Mwongozo, Dar Es Salaam

Sh. 14,500,000

  • Surveyed Land

  • Near Paved Road

  • Dining Room

6 Bedrooms House for Sale in Geza, Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 610,000,000

  • Title Deed

  • Surveyed Land

  • Parking Space

6 Bedrooms House for Sale in Geza, Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 610,000,000

  • Title Deed

  • Parking Space

  • Surveyed Land