Search

3 Bedrooms House for Sale in Kimara Golani, Dar Es Salaam (500 sqm)

video thumbnail
Sh. 50,000,000

Description

🏑 NYUMBA INAUZWA – KIMARA GOLANI

πŸ’° Bei: Milioni 50 tu

Nyumba nzuri na ya kisasa inauzwa Kimara Golani, eneo tulivu na lenye huduma zote muhimu.

βœ… Vyumba 3 vya kulala (kimoja Master Bedroom)
βœ… Sebule kubwa na Dining
βœ… Jikoni pamoja na Store
βœ… Choo cha wageni (Public Toilet)
βœ… Kisima cha maji
βœ… Umeme na maji vinapatikana

πŸ“ Ukubwa wa eneo: Sqm 500

πŸ“ Ipo takriban Kilometa 1 kutoka Kimara Mwisho. Barabara ni nzuri, pikipiki na magari yanafika hadi nyumbani bila shida.

🏠 Inafaa kwa makazi ya familia na uwekezaji wa muda mrefu.

Service Charge / Gharama ya Huduma: Tsh 30,000/=

πŸ“ž Muhitaji piga: +255 688 412 890

Karibu uone nyumba na ufanye maamuzi sahihi ya kuwa na makazi yako mwenyewe. πŸ”‘πŸ‘

Similar properties in Kimara, Dar Es Salaam