Search

3 Bedrooms House for Sale in Kimara Suka, Dar Es Salaam (584 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 115,000,000

Description

NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAUZWA KIMARA SUKA BEI NI 115 MILIONI MAONGEZI YAPO

💥NYUMBA INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
STORE
MAJI DAWASA YAKO YA KUTOSHA

KUNA MPANGAJI ANALIPA KODI 350K
NYUMBA IMEZUNGUSHIWA FENSI KOTE
KUNA SEHEMU KUBWA IMEBAKIA UNAJENGA NYUMBA NYINGINE KUBWA

BEI NI MILIONI 115M MAONGEZI YAPO

UKUBWA: SQM 584

DOCUMENT:- KARATASI ORIGINAL YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA

🇹🇿NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI NA BODABODA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30

DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747

Similar properties in Kimara, Dar Es Salaam

3 Bedrooms House for Sale in Kimara Temboni, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 210,000,000

For Sale3 beds2 baths600 sqmhouse
4 Bedrooms House for Sale in Kimara Bonyokwa, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale4 beds3 baths600 sqmhouse
4 Bedrooms House for Sale in Kimara Bonyokwa, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale4 beds3 baths600 sqmhouse
3 Bedrooms House for Sale in Kimara Mwisho, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 90,000,000

For Sale3 beds2 baths400 sqmhouse
2 Bedrooms House for Sale in Kimara Temboni, Dar Es Salaam (450 sqm)

Sh. 35,000,000

For Sale2 beds2 baths450 sqmhouse